MSONGAMANO WA WANAFUNZI BILA VITABU VYA KIADA VYA KUTOSHA
Tangu mwaka 2002, Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) wenye madhumuni mawili makuu: kupanua zaidi upatikanaji wa elimu na kuinua viwango vya ubora wake. Wakati ambapo mafanikio makubwa yamepatikana katika kupanua upatikanaji wa elimu ya ngazi ya msingi, suala la kuinua viwango vya ubora bado linaendelea kuwa changamoto kubwa.
view reportdownload